Fofana wa Yanga atambulishwa Ufaransa

Kungo mshambuliaji Souleymane Fofana (20) amekamilisha uhamisho wake wa kujiunga na klabu ya FC Annecy ya Ufaransa kutoka ASEC Mimosas akiwa MVP wa Ligi Kuu ya Ivory Coast kwa msimu wa 2025-26.

Souleymane Fofana amesaini mkataba wa miaka minne hadi 2030 kwa FC Annecy ya Ligi daraja la pili nchini Ufaransa


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI