FIFA yaitaka TP Mazembe kumlipa kipa wake

Shirikisho la Mpira Duniani (FIFA) limewapa taarifa klabu ya TP Mazembe kumlipa golikipa wao Alioune Badara Faty kiasi cha pesa cha USD 25K (Tshs Milioni 66) ikiwa ni pesa ya ada yake ya usajili!.

Faty alisaini mkataba mpya na TP Mazembe mwaka 2025 na hakulipwa pesa hizo za usajili wa mkataba huo mpya na FIFA imewapa siku 45 tu klabu hiyo kulipa pesa hizo kwa golikipa huyo aliyeshitaki kwao na kushinda kesi hiyo.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI