Edna Lema- Simba Queens ni mechi ngumu lakini?
Hakika tunakwenda kukutana na mchezo mgumu haiwezi kuwa mechi nyepesi sababu tuna wachezaji wapya kwenye timu yetu ila tuna faida ya kuwafahamu wapinzani wetu Simba Queens ili wao hawajui wachezaji wetu vizuri lakini sisi tunajiamini tuna timu nzuri ya kushindana msimu huu"
"Wachezaji wetu wote wapo vizuri, hakuna majeruhi yoyote hadi sasa na hatuna sababu ya kusingizia kuelekea mchezo wetu wa kesho, benchi la ufundi wote tunataka kushinda"
Edna Lema
