Depu hakamatiki

Mshambuliaji Aurelio Laurindo Depu ameendelea kung’ara katika Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League), baada ya kufunga bao na kutoa assist katika sare ya 2-2 kati ya Petro de Luanda na UD de Songo jana.

Katika mchezo wa kwanza, Petro de Luanda ilishinda 1-0 dhidi ya UD de Songo, huku Depu akifunga bao pekee la mchezo. Kwa matokeo ya jumla ya 3-2, Depu amehusika moja kwa moja katika mabao yote matatu ya Petro de Luanda katika michezo hiyo miwili.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI