Clara Luvanga aandika historia soka la wanawake duniani

Mchezaji wa Kimataifa wa Tanzania, Clara Luvanga, ameandika historia ya kuwa Mchezaji aliye sajiliwa kwa pesa Nyingi zaidi katika Historia ya soka la Wanawake Duniani baada ya kukamilika kwa uhamisho wa kujiunga na Washington Spirit ya Marekani akitokea Al-Nassr, kwa kusaini mkataba wa miaka minne utakaodumu hadi mwaka 2029.

πŽπ‘πŽπƒπ‡π€ π˜π€ π’π€π‰πˆπ‹πˆ (4) π†π‡π€π‹πˆ 𝐙𝐀 π–π€π‚π‡π„π™π€π‰πˆ 𝐖𝐀 πŠπˆπŠπ„ πƒπ”ππˆπ€ππˆ

1. Clara Luvanga kutoka: Al Nassr to Washington kwa ada ya €1.7m (tsh 5.2bilion).

2.Grace Geyoro kutoka PSG to London City €1.65m (tsh 5bilion).

3.Kerolin Nicoli kutoka Man City to Barcelona €1.5m (tsh 4.6 bilion).

4.Felicia SchrΓΆder HΓ€cken to Real Madrid €1.5m (tsh 4.6bilion).

Kwa kifupi Mtanzania Luvanga ndo mchezaji ghali kuliko wote Duniani.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI