Chasambi ashiriki droo AFCON

Mchezaji wa Singida BS, Ladack Chasambi, alishiriki droo ya Kufuzu #AFCON kwa vijana chini ya miaka 17 kwa ukanda wa CECAFA ambayo ilifanyika leo Septemba 23, 2026 katika studio za #AzamTV.

Chasambi alikuwa Mchezaji Bora (MVP) wakati shindano hilo lilipofanyika kwa mara ya kwanza mwaka 2018.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI