Azam FC na Simba sasa kupigwa Septemba 16

Mechi ya Simba dhidi ya Azam iliyopangwa kuchezwa baada ya Simba kumalizana na Mighty wanderers mkondo wa kwanza ligi ya mabingwa umeahirishwa na sasa utapigwa tarehe 16 baada ya Simba kumalizana na Mighty mkondo wa pili

Mliosubiria kumuona maestro Feitoto akicheza dhidi ya Simba mtasubiri kidogo


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI