AS Maniema ziarani Tanzania

Jioni hii klabu ya AS Maniema Union,ya Congo DR imeanza safari ya kuja Tanzania.

AS Maniema Union Wamealikwa na Azam Fc na watatua usiku wa leo.

Lengo la timu hiyo kuja Tanzania ni kucheza mechi ya kirafiki na Azam FC.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI