Arobaini ya mtoto wa Zuchu yatajwa
Mrembo Esma Platnumz ambaye ni dada wa Diamond Platnumz ameutumia ukurasa wake wa instagram kuitaja tarehe ya arobaini ya mtoto wa Zuchu na Diamond kuwa ni tarehe 12 mwezi huu .
Esma Platnumz ameeleza kuwa hii itakuwa ni season 2 ya mwana kakua baada ya ile ya kwanza kule hospitalini.
''Season 2 ya mwana kakua Madale tarehe 12 mwezi huu''Ameandika -Esma Platnumz
