Alikamwe amchangia Dudubaya

Msemaji wa klabu ya Yanga, Ali Kamwe amchangia msanii Dudu Baya Tsh 10,000 ikiwa ni kampeni ya kumsaidia kulipa deni la milioni tatu ikiwa ni kama Faini kutoka BASATA.

Inawezekana Alikamwe ameguswa na Dudubaya kwani mwanahatakati mwingine aitwaye Zungu naye ameguswa na Dudubaya na anawataka Watanzania kumchangia.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI