Albert Kangwanda aendeleza ushindi kwa Yanga

Mabingwa wa Tanzania bara Yanga SC jioni ya leo imetoka na ushindi wa bao 1-0.dhidi ya ST George mchezo wa kirafiki wa kimataifa katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

Bao pekee la Yanga limefungwa na kiungo mshambuliaji wa kimataifa raia wa Zambia Albert Kangwanda aliyepokea assist toka kwa Erick Mwijage.

Yanga imeamua kucheza mechi za kirafiki baada ya Ligi Kuu bara kusimama kupisha timu ya taifa, Taifa Stars itakayocheza mechi mbili za kirafiki za kimataifa.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI