Akina Mayele wapeta Afrika
Al Ahli Tripoli imefanikiwa kutinga hatua ya pili ya awali ya CAF Confederation Cup baada ya kuiondosha KMKM ya Zanzibar kwa ushindi wa jumla ya mabao 7-0.
Mchezo wa kwanza wa ugenini Al Ahli walishinda 3-0 na mchezo wa leo wa marudiano wameshinda 4-0.
Fiston Mayele amefunga jumla ya magoli 3 kwenye michezo yote miwili.
