Sele Gomez aja na muonekano mpya
Straika mpya wa Yanga SC, Selemani Mwalimu ‘Gomez’, akiwa mazoezini na mwonekano mpya.
Kwa mujibu wa taarifa ya Yanga, kesho mshambuliaji huyu atakuwa uwanjani wakati Yanga wakikipiga dhidi ya Pamba Jiji FC.
“Chuma kipo tayari kwa ajili ya kuwapa furaha Wananchi Kesho,” taarifa ya Yanga SC.





