Manqoba asikitikia kukosa mabao

Kocha mkuu wa Yanga SC Manqoba Mngqoithi raia wa Afrika Kusini, anasikitishwa na timu yake kushindwa kutumia nafasi na kuondoka na ushindi mkubwa wa mabao.

Kocha huyo ameonesha kusikitishwa kwake na wachezaji wake ingawa anaamini ipo siku wachezaji wake watabafilika na kuibuka na ushindi mkubwa.

Mpaka sasa Yanga imefunga jumla ya mabao 13 ikiwa ndio kinara kwa kufunga mabao mengi ikifuatiwa na Geita Gold yenye mabao 9 na Simba yenye mabao 5.

"Nipo hapa Kwa Wiki Sita tu, Sijafurahishwa na Idadi ya Magoli, Tumefunga Magoli 13 Tu kwenye mechi 4 hiyo sio sawa Kwa Level Yangu, ninafuraha tu Kwasababu najua ipo Siku Kuna Mtu Tutamfunga Goli Nyingi na Itakuwa sio sawa kwake lakini ndio Mpira" Ameyasema Hayo Kocha Mkuu wa Yanga Manqoba Mngoith.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI