Eng Hersi amluka Damaro
Rais wa klabu ya Yanga SC, Eng Hersi Said ameweka wazi kwamba klabu yake haihusiki kabisa na uraia wa Mohamed Damaro na amedai wamemsajili akiwa ni raia wa Tanzania.
"Yanga SC hatuhusiki na lolote kuhusu Uraia wa Mohammed Damaro. Tulimsajili Damaro akiwa tayari ameidhinishwa na Uhamiaji kwa kutoa hadi taarifa kwa uuma kama ni mchezaji wa Kitanzania na alipata uraia wake Mwaka 2025 tena akiwa na kikosi cha Singida BS kabla hajaja Yanga SC."
Rais wa Yanga SC akizungumza kupitia Tbc
