Zulfa Macho aingia fainali ya ndondi Afrika


Nahodha wa timu ya ngumi ya Taifa ya Tanzania kwa upande wa wanawake Zulfa Macho ameingia hatua ya fainali ya michuano ya ngumi barani Afrika inayofanyika nchini Kenya.

Macho amemtandika kwa 'points' 5-0 mpinzani wake bondia kutoka nchini DR Congo, Deborah Bawo katika mashindano hayo ya kanda ya tatu yanayoendelea jijini Nairobi katika uwanja wa ndani wa Kasarani.

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons