Simba yatajwa kuwania tuzo ya klabu bora Afrika

Klabu ya Simba SC imetajwa kwenye orodha ya vilabu vinavyowania tuzo ya Klabu Bora ya Mwaka 2025 kwenye tuzo za CAF Awards zitakazotolewa mwishoni mwa mwaka huu..

Hizi ndizo klabu zilizotajwa:

🇩🇿 CR Belouizdad
🇩🇿 CS Constantine
🇨🇮 ASEC Mimosas
🇪🇬 Pyramids FC
🇲🇦 RS Berkane
🇿🇦 Mamelodi Sundowns
🇿🇦 Orlando Pirates
🇿🇦 Stellenbosch FC
🇸🇩 Al Hilal SC
🇹🇿 Simba SC 

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons