Simba yatambulisha jezi mpya

KLABU ya Simba jana usiku imetambulisha rasmi jezi zake za msimu mpya chini ya mzabuni mpya wa vifaa vyake bus michezo Kampuni ya Jay Rutty. 
Nyekundu ni jezi za nyumbani.
Nyeupe ni jezi ya ugenini.
Buluu ni jezi ya ziada ‘third kit’.

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI