Baraka Majogoro ajiunga na KMC kutoka Afrika Kusini
Klabu ya KMC FC imekamilisha usajili wa kiungo Baraka Majogoro (27) kwa mkataba wa mwaka mmoja wenye kipengele cha kuongeza mwaka mmoja zaidi
Majogoro amejiunga na KMC FC akitokea Chippa United ya Afrika Kusini ambayo ameachana nayo kuelekea msimu mpya