Picha: Gwaride la Yanga.....
Mabingwa wa Ligi Kuu bara, Ngao ya Jamii na kombe la CRDB, Yanga SC wameanza kupiga gwaride lao hii leo likiwa ni maadhimisho ya kusherehekea Mataji yao matano.
Mbali ya kushinda Mataji matatu, Yanga wameshinda kombe la Toyota na kombe la Muungano.




