Mashabiki wa Yanga, Simba waungana kunywa supu ya Ngamia kusherehekea ubingwa wa Yanga

Mashabiki wa Klabu ya Yanga pamoja na wale wa Simba waliungana pamoja kusherehekea Ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara ambapo Yanga walibeba hapo juzi na kwenye sherehe hizo Yanga waliandaa Supu ya Ngamia.
.
Yanga walibeba Ubingwa huo kwa kumfunga Mtani wake, Simba SC bao 2-0.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI