Aziz Ki kurejea Yanga baada ya mkopo kuisha

Stephanie Aziz Ki alijiunga na Wydad kwa mkopo mfupi wenye kipengele cha kununuliwa mazima kabla ya tarehe 10/07/2025.

Makubaliano ya Yanga na Wydad ni kulipwa pesa ya usajili wa Aziz (signing fee) ya Tsh 1.7b kabla ya tarehe 10/07/2025 lah sivyo Aziz atarejea nchini.

Wydad na Aziz Ki walihitajiana sana kuelekea FIFA Club world Cup hivyo ikabidi kiwekwe kipengele cha kulipa pesa hiyo kabla ya tarehe 10 endapo watalidhika na kiwango chake.

Kisheria Aziz bado ni mchezaji wa Yanga ndiyo maana bado hajaondoa “Profile Picture” ya Yanga kwenye Instagram yake,unless Wydad wamalizane na Yanga kabla ya july 10.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI