Ayoub Lakred atambulishwa FUS Rabat
Golikipa wa Simba SC Ayoub Lakred amejiunga na FUS Rabat kwa mkataba wa miaka miwili.
Kipa huyo kutoka Morocco aliagana na Simba, na tayari amerejea nyumbani kwao Morocco.
Mkataba wake na FUS Rabat umesainiwa leo rasmi asubui
