Zungu wa Wasafi Media awaaga na kuwashukuru

Mtangazaji wa vipindi mbalimbali wa redio Wasafi, Zungu ameishukuru redio kwa kumlea vema na kumtangaza.

Wasafi Media mna zawadi yenu kubwa mbinguni, tangu nilipoanza kazi hapo mwaka 2020 hakika chini yenu nimetumika na kukua vyema, nimepata connection nyingi kwa msaada wenu nyinyi ni watu wema sana mlinitambulisha zaidi duniani na kunishika mkono!

Lipi kubwa zaidi ya asante kwenu Wasafi Media, sasa hesabu zinaniambia umefika wakati wa kwenda kukua zaidi na kutumika sehemu nyingine, kwenda kutafuta changamoto nyingine na kuitumia zawadi hii aliyonibariki Mungu sehemu nyingine.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI