Haji Manara na Injinia Hersi damu damu
Rais wa klabu ya Yanga, Eng. Hersi Said akiwa na Haji Manara kwenye jukwaa moja katika uwanja wa KMC Complex wakifuatilia mchezo kati ya Yanga dhidi ya Tanzania Prisons.
Ikumbukwe Haji Manara aliwahi kunukuliwa akisema kuwa hana mawasiliano na Rais wa klabu ya Yanga.
