#TupoNaMama: Ujenzi wa Hospitali ya halmashauri ya Madaha mkoani Ruvuma
JITIHADA za Rais wa awamu ya sira Dkt Samia Suluhu Hassan kuwafikishia huduma na afus Watanzania wote zinaendelea na Sasa Hospitali halmashauri ya Madaba, Ruvuma
Huduma za afya zimekuwa nafuu kwani sasa zinapatikana karibu.
Hongera sana mheshimiwa Rais Samia
