TAKWIMU ZA JKT QUEENS BALAA
Kuna Namna Hawa Jkt Queens Wanatoa Alarm Ya Hatari Kwamba Ukikutana Nao Yeyote Anakudhuru Yeeees Mfano Wa Timu Nne Wafungaji Hatari Wenye Muendelezo Hadi Sasa ...
Jkt Queens
1. Stumai Abdallah 17 Goals
2. Winfrida Gerald 8 Goals
3. Donisia Minja 4 Goals
4. Amina Bilali 4 Goals
5. Jamila Rajab 4 Goals
6. Aliya Fikiri 2 Goals
Jumla = 39
Hao Ndio Wafungaji Wa Jkt Queens Na Orodha Ya Magoli Waliyofunga Hadi Sasa Na Wote Bado Wanamuendelezo Mzuri Wa Kufunga ...
Na Hapa Bado Ukizubaa Hata Beki Anakufunga Kama Fatuma Makusanya Leo,Anastazia Katunzi,Janeth Pangamwene,Lidya Maximilian Hawa Wote Wana Goli Msimu Huu ...
Simba Queens
1. Aisha Mnunka 13 Goals
2. Asha Djafari 8 Goals
3. Jentrix Shikangwa 4 Goals
4. Viviane Corazone 3 Goals
5. Joan Ainambambazi 2 Goals
Jumla = 30
Katika Orodha Hii Ya Simba Queens Wafunga Wenye Muendelezo Mzuri Ni Wawili Tu Aisha Mnunka Na Asha Djafari Tu Hao Wengine Wote Tia Maji Tia Maji ...
Yanga Princess
1. Kaeda Wilson 3 Goals
2. Precious Christopher 3 Goals
3. Janeth Bundi 2 Goals
4. Yemis Olluwa 2 Goals
5. Madina Traore 2 Goals
Jumla = 12
Hapo Kwa Yanga Princess Hakuna Mchezaji Mwenye Muendelezo Wa Kufunga Mara Kwa Mara Naam Macho Na Matazamio Yapo Kwa Mchezaji Mgeni Olluwa Yemis Ambaye Ameonekana Kufunga Magoli 2 Katika Michezo Ya Ligi Kuu Isiyozidi Mitatu Tangu Ametua Nchini ...
Fountain Gate Princess
1. Amina Ramadhan 4 Goals
2. Hasnath Ubamba 4 Goals
3. Jackline Wilbert 2 Goals
Jumla = 10
Fountain Gate Princess Hali Ya Katika Safu Yao Ya Ushambuliaji Msimu Huu Ni Mbaya Zaidi Kwani Hadi Sasa Ni Wachezaji Watatu Tu Wenye Magoli Zaidi Ya Mawili.
Jkt Queens Ndio Timu Iliyofunga Magoli Mengi Zaidi Msimu Huu Hadi Sasa Ikiwa Imeshafunga Magoli 46 Mbele Ya Simba Queens Wenye Magoli 36 Huku Yanga Princess Akifunga Magoli 17