PACOME KUIPONZA YANGA


Hii ngoma ni nzito sana matarajia yao kesi hii itafufuka baada ya ligi kuisha,kinachofanyika ni kukausha kimyakimya ili wadau wasijue.According to FIFA Young Africans Sports Club wanamtumia Mchezaji bila kufata taratibu za Uhamisho.

Kwamujibu Wa Sheria za FIFA Yanga anatakiwa kupokwa points au kushushwa daraja kabisa.Mchezaji anayefichwa hapa ni Pacome Zouzou,na baada ya hii Taarifa kutolewa Sasa Hivi Yanga wanaogopa kumtumia Tena.Hapa ilikuwa inatakiwa TFF walishughulikie hilo swala haraka lakini nao wamekaa kimya kuwalinda Yanga.

Viongozi wa Vilabu Vyote walikuwa wadai point zao kwakufatilia huko @tanzania football federation kama itashindikana basi waende FIFA.

Maajabu ni Kwamba Viongozi wa Vilabu nao wamekaa kimya.

Wakina Popat, Try Again wamekaa kimya hawaoni kuwa hii Fursa kwao kama watapokwa point wanaweza kuwa mabingwa.

Hii kesi ya Yanga ni kubwa sana itakapokuja kufufuka watakuwa katika Wakati mgumu sana.Time will tell


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA