REKODI ZA MAYELE MAJANGA
Fiston Mayele katika CAF CHAMPIONS LEAGUE msimu huu.
Mechi: 4️
Magoli: 0️
Assist: 1️
Shots on Target: 6️
Shots of Target: 4️
Big Chance Missed: 5️
Big Chance Created: 0️
Nikisema kuwa Mayele alibebwa na ubora wa kikosi cha Yanga nitakuwa nimekosea wakuu.