RAIS SAMIA AIPONGEZA YANGA KUTINGA ROBO FAINALI

Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan, ameipongeza Yanga SC, kwa kufanikiwa kutinga hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, baada ya kuishushia kichapo cha mabao 4-0 CR Belouizadad jana Jumamosi.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Rais Samia ameandika “Naipongeza Klabu ya Yanga kwa kufanya vyema katika hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF), na kufanikiwa kufuzu hatua ya Robo Fainali.

Mafanikio haya yameandika historia kubwa kwa klabu na sekta ya michezo nchini. Mmeleta furaha kwa mamilioni ya mashabiki wenu na Watanzania kwa ujumla.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA