TSHABALALA USO KWA USO NA SIPHIWE TSHABALALA
Mohamed Hussein 'Tshabalala' kutoka Tanzania na Siphiwe Tshabalala kutoka Afrika kusini wamekutana huko Nchini Ivory Coast ambako inafanyika Michuano ya #TotalEnergiesAFCON2023
Siphiwe Tshabalala ndiye mmiliki halisi wa jina la Tshabalala huku Mohamed Hussein akitumia jina la Tshabalala kama jina lake la Utani.