HUYU HAPA HAJI SULEIMAN MNOGA, BABA MZANZIBAR MAMA MUINGEREZA
Anaitwa Haji Suleiman Mnoga wengi wanajiuliza huyu mwamba ana asili ya wapi huyu mwamba baba ni Mzanzibar na upande wa mama ni Uingereza yaani ni chotara la Zaneng
Kiasili huyu mwamba uwanjani ni CB yaani Centre Back pia anaweza kucheza kama RB yaani right back na DM yaani Defence Mildefid, uwanjani kama hayumo hivi haimbwi sana lkn anapiga kazi kama punda wa muembe makumbi.
Anatoka klabu ya Aldershot Town FC inayoshiriki ligi daraja la 5 pale England ni mchezaji mmoja mzuri
sana mwenye umri mdogo na ni Hazina na kubwa Sana kwa Taifa la Tanzania