Mo. Tukimtaka Mayele tutambeba
“Sifuatilii sana mechi za Yanga...Sijamuona Mayele kwenye mechi namsikia, namuona kwenye mitandao naona clip zake anavyofunga magoli nampongeza ni mchezaji mzuri sana na namuombea kila la kheri"
“Simba tuko tayari kumpata mchezaji bora popote Afrika kwa hiyo kama Mayele atakuwa ameorodheshwa na mkataba wake yuko tayari kuuvunja na Yanga na kuja Simba basi simba itakuwa tayari,”