Mo Dewji anunua tiketi 5000, kesho atakufa mtu
"Rais wa heshima wa Simba, Mohamed Dewji amenunua tiketi 5000,Wadhamini wa Simba SC AfriCarriers wamenunua tiketi 2000 wakati Azim Dewji na wafanyakazi wa kampuni yake wamenunua tiketi 1000 lengo ni kuhakikisha mashabiki wanaujaza Uwanja wa Mkapa kesho na kuhamasisha tunamfunga Uganda"
Clifford Ndimbo , Afisa Habari wa TFF
