CHELSEA YAFUTURISHA WAISLAMU UINGEREZA
Klabu ya Chelsea imekuwa Klabu ya kwanza nchini Uingereza kuruhusiwa na kutumika kwa ajili ya kula Iftar kwa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Lakini pia Uwanja wa Chelsea wa Stamford Bridge umekuwa ni uwanja wa kwanza wa timu ya ligi kuu ya England kutumika kwa ajili ya Kuftar kwenye mwezi mtukufu wa Ramadhani.





