Matokeo yote ya VPL leo hii, haya hapa
Na Mwandishi Wetu. Dar es Salaam.
Simba SC 4 Njombe Mji FC 0, (Uhuru Stadium Dar es Salaam).
Ndanda FC 0 Singida United 0, (Nangwanda Sijaona, Mtwara),
Mbao FC 0 Azam FC 0, (CCM Kirumba, Mwanza)
Mtibwa Sugar 1 Tanzania Prisons 0 (Manungu Complex, Morogoro)
Lipuli Fc 1 Majimaji Songea 0, (Samora Stadium, Iringa)
Mbeya City 2 Ruvu Shooting 0 (Sokoine Stadium, Mbeya)
Kesho Jumapili Stand United vs Yanga SC (CCM Kambarage, Shinyanga)