Ratiba nzima ya VPL Ijumaa mpaka Jumapili hii hapa

Na Salum Fikiri Jr. Dar es Salaam

Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara inaendelea tena kuanzia leo Ijumaa kwa mchezo mmoja kati ya Azam FC na Kagera Sugar utakaofanyika katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

Mechi nyingine zitapigwa kesho Jumamosi na Jumapili ambapo pointi tatu muhimu zitawaniwa, kwa ratiba kamili hii hapa.

Ruvu Shooting vs Lipuli FC, (Samora) Yanga vs Majimaji, Tanzania (Majimaji), Prisons vs Ndanda FC (Sokoine) Stand United vs Singida United, (Kambarage), Mtibwa Sugar vs Mbao FC (Manungu Complex), Jumapili Simba vs Mwadui (Uhuru Stadium), Njombe Mji vs Mbeya City)

Kikosi cha Majimaji ya Songea

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons