Samatta atupwa nje tuzo ya mwanasoka bora Afrika
Na Salama Ngale
Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania mbwana Ally Samatta (sama goal) ametupwa nje kwenye kinyang'anyiro cha kumpata mchezaji bora Afrika kwa mwaka 2016
Samatta ambaye alishinda tuzo ya mchezaji bora wa afrika kwa wchezaji wanaochezaligi za ndani ya afrika Mara hii alikua anagombea ya mchezaji bora Afrika anaye cheza soka la kulipwa.
Samatta alikua ana chana na wachezaji wengine kutokabaran Afrika kama vile Yaya Toure,Mohammed. salaah na Riyadh Mahrez.