Kipute cha haja kupigwa Ulaya leo

Ligii kuu England ku endelea leo hii kwa michezo 5 kupigwaa
Mechi ya mapema zaidii ita pigwaa saa 9.00 kwa saa za Africa mashariki

Aresenal vs Tottenham
Hindio mechi ya mapema kwa leo pia ni Darby ina yo kutanisha timu za jiji moja (LONDON) kwa record zina onesha mechi 5 zilizo pita timu hizi 2 zilipo kutana
Aresenal walipata ushindi mechi moja na Tottenham walipata ushindi mechi 1 huku 3 ziki malizika kwa sare

Mechi za karibuni zina onesha Aresenal wapo bora zaidi ya Spurs ambayo kwenye mechi 5 wame pata sare 2 na kupoteza michezo 3 huku Aresenal wakishinda michezo 4 na wakipata sare mchezo 1

Kurudi kwa Herry kane kuta I boost Tottenham hini kutokana kukosa mechi kadhaa nyuma huku Vecent Jenssen akishindwa kuziba na fasi hio ilio achwa na mpachika mabao bora wa Epl msimuu ulio pitaa

Viwango bora vya mchezaji mmoja mmoja Ina weza kuwa athiri kwa Tottenham na safu hatari ya Aresenal leo ina weza kuwa faidaa kwa mzee  Wenger safu ambayo ita ongozwa na Alex Sanchez Mest Ozil na hata Girioud ambae mechi 2 zilizo pita kaweza kufunga goli 3

Mechi zingine zitakazo pigwa leoo hii ni

Hull City vs Southampton
Liverpool vs Watford
Swansea vs Man utd
Leicester vs W.brom

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA