RNE YAMPONGEZA MENEJA WAO

Na Mwandishi Wetu, Tanga

Uongozi wa R N E wampongeza meneja wao ndugu Juma Rashidi Shengoshi kwa kusimamisha harakati pia imewapongeza wasanii wake pamoja na mashabiki wake wote pia imefurahishwa na mashindano ya vipaji ya fanyika Tanga Korogwe Hale pia imewapongeza wadau wake wote ndani ya Tanga na njee ya Tanga kwa kuisimasha   rap newz entertiment

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI