Simba itacheza Caf mwakani- Kiiza
Mshambuliaji mpya wa Simba SC Hamis Friday Kiiza ambaye jana alisaini mkataba wa miaka miwli ametamba kuwa klabu hiyo msimu ujao itapata tiketi ya kushiriki michuano ya Caf kwa kumaliza katika nafasi za juu ya msimamo wa ligi kuu bara.
Akizungumza hayo na mwandhishi wa habari hizi, Kiiza amesema Simba ina kila nafasi ya kushiriki michuano ya kimataifa kutokana na kuimariika kwa kikosi chake, Kiiza amedai uwepo wake katika safu ya ushambuliaji sambamba na Mussa Hassan Mgosi, Emmanuel Okwi, Laudit Mavugo kutawapa jeuri na kutwaa ubingwa wa bara.
Kuhusu Yanga, Kiiza amesema timu hiyo itarajie vipigo mfululizo kutoka kwao kwani anafahamu hawana mabeki wa kuwazuia washambuliaji wa Simba, Yanga ina mabeki wale wale Yondani na Cannavaro ambao hawana uwezo wa kuwadhibiti washambuliaji wa Simba ambao wana ari na molali ya kufanya kweli.
Simba imeamua kumsajili Kiiza ambaye aliachwa na Yanga mwishoni mwa mwaka kwa madai kiwango chake kimekwisha ilihali yeye mwenyewe anadai alikuwa apewi nafasi ya kuanza katika kikosi cha kwanza