MADEMU WA HOLLYWOOD WAJIGONGA KWA DIAMOND, KARRUACHE ATAKA NAMBA YA SIMU,WEMA SEPETU APEWA ONYO
This is hot gossip...! latest news zinasema kuwa Diamond amekuwa "Diamond" kwa mademu wa Hollywood akiwemo Karruache Tran ambaye ni demu wa Chris Brown ! juzi zilifanyika tuzo za BET Awards 2014 ambapo Diamond alikuwa nominated katika best international act Africa na kuhudhuria tuzo hizo Los Angels.
Sasa basi kwa mujibu wa chanzo kimoja toka Tanzania kilichopo Marekani kwasasa kikichat na Swahiliworldplanet kimesema kuwa yeye alihudhuria tuzo hizo na rafiki yake mnigeria ambaye alikuwepo kuwapa support Tiwa Savage.
Lakini katika mishemishe za tuzo hizo kwenye red carpet na hata nje ya red carpet Diamond alionekana kuwa kivutio kwa mademu wa Hollywood akiwemo Karruache demu wa Chris Brown ambaye alikuwa alimpiga maswali ya interview Diamond huku akijibodoa mbele ya Diamond na baadae kumuomba namba yake ya simu.
Mastaa wengine wa kiume kama Nelly na Ne-yo walisalimiana na kumsogelea Diamond lakini inadaiwa kuna mademu wa Hollywood akiwemo Gabrielle Union walikuwa wanataka kuongea nae hasa baada ya media kuwa busy kumpiga picha Diamond kwenye red carpet.
Diamond na Karuache
" I was there with my Naija friend to support Tiwa, but me nlishangaa some Hollywood girls wakimnyoshea kidole Diamond muda mwingi kuliko hata Davido aliyechukua tuzo, Karruache kamuomba namba Diamond mi nikiona, there was Gabrielle Union she was pointing to Diamond with her friends, even my Nigerian friend asked if Diamond alishakuja Hollywood kwenye event kubwa before? and I said no"
Chanzo hicho kikaendelea kwa kusema kuwa Wema Sepetu anatakiwa afunguke macho na yeye aanze kufanya kazi kwa bidii ili awe wa kimataifa na kuwa sambamba na Diamond la sivyo ni rahisi kuporwa Diamond na mademu wa Hollywood "this guy(Diamond) is real Diamond he has a glittering star if he goes on working hard he will be megastar, Wema should learn from him if not they will be apart, Diamond will be taken by another lady of his league"