MIRROR ATOBOA FAIDA ANAZOPATA KWA MENEJA WAKE.
Na Robart Michael
Msanii anaetamba na single yake inayoitwa "Baby leo" hivi karibuni ameitambulisha single yake mpya inayoitwa "korokoro" aliyomshirikisha Jose Chamilion aliyofanyia nchini "Uganda".
Vile vile Mirror alihojiwa kwenye chombo kimoja cha habari amesema kuwa enzi anaanza mziki alikutana na msanii Ay studio,Ay aliposikia kwa mara ya kwanza nyimbo ya Mirror alipenda sana uimbaji wake na akaamua kufanya nae korabo.
Mirror amesema kuna faida nyingi anazopata kwa meneja wake anaejulikana kwa jina la Fela, amesema ukiachilia mbali faida anayopata kwa Fela ya usimamizi wa pesa zake ameweza kupata faida zifuatazo,Kupata shoe kama msanii, kushirikiana na mastaa ndani na nje ya nchi, pamoja na kupiga picha nyingi.
Pamoja na hayo Mirror amesema msanii Ally Kiba ndie amemshawishi apende mziki kutokana na Mirror kuvutiwa na uimbaji wa Ally Kiba.