JENNIFER LOPEZ ALIVYOPAGAWISHA UFUNGUZI KOMBE LA DUNIA


Mwanamuziki J-Lo akipagawisha mashabiki wakati wa sherehe za ufunguzi wa Fainali za Kombe la Dunia 2014 kabla ya mchezo wa kwanza wa Kundi A baina ya Brazil na Croatia usikuwa jana Uwanja wa Corintias mjini Sao Paulo.
Superstar Jennifer Lopez sizzled in a sparkly green number as she performed to thousands of people at the official World Cup opening ceremony
Jennifer Lopez wore a sparkling leotard as she sang the official FIFA World Cup song 'We Are One (Ole Ola)' alongside Pitbull and Claudia Leitte
Jennifer Lopez akiimba wimbo maalum wa Kombe la Dunia 'We Are One (Ole Ola)' pamoja na Pitbull na Claudia Lettie pichani chini
Singer Jennifer Lopez was joined by rapper Pitbull and Brazilian pop star Claudia Leitte as the world's biggest football tournament commenced in Brazil this evening
Celebrations centred around a gigantic globe situated in the middle of the Corinthians Arena in Sao Paulo and performers - dressed in an array of colourful outfits and costumes - danced in front of the crowd
A globe in the centre of the stadium displayed all of the flags of the countries taking part in the 2014 World Cup and resembled the Brazuca - the official ball of the competition
A Brazil fan kisses a mock World Cup trophy at the Arena Corinthians in Sao Paulo ahead of tonight's Group A match between Brazil and Croatia
Shabiki wa Brazil akibusu mfano wa Kombe la Dunia

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA