CHIFU PANDUKA KUVAMIA JIJI LA TANGA
MNAJIMU na mganga maarufu wa tiba asilia nchini ambaye pia ni mtabiri wa michezo Juma Mwema au Chifu Panduka (Pichani) anatarajia kutembelea jiji la Tanga kwa ajili ya kuwasaidia watu mbalimbali wenye matatizo.
Akiongea na Mtandao huu mapema leo, Panduka amesema anakwenda Tanga kuwapa huduma wateja wake waliokuwa wakimsubiria kwa muda mrefu.
'Tanga nina watu wengi sana ambao walikuwa wakiniomba niende kuwasaidia, kuna jamii inaishi kwa mashaka lakini inashindwa jinsi ya kusaidiwa, lakini waliponigundua wakaniomba nikawasaidie', alisema.
Panduka anasifika kwa kutibu magonjwa mbalimbali pia ana uwezo wa kumjua jini aliye mwilini au mashambani, pia ana uwezo wa kutoa mapepo na majini yalishindikana hasa yale yaliyotegwa makaburini ambayo huzuia riziki za watu.
Mtaalamu huyo anayepatikana Tabata Relini jirani kabisa na Hai Bar anatarajia kuwasili Tanga Mei mosi na kurejea jijini Dar es Salaam mei 7 ambapo ataendelea na shughuri zake.
Akiwa Tanga, Panduka antafikia katika guest maarufu ya bomay inatazama na mlango mkubwa wa kuingilia soko la Mgandini kwa mawasiliano na Panduka 0715 281162