MZUNGU WA SIMBA AKERWA NA JEURI YA FEDHA YA YANGA, APONDA ZIARA YA UTURUKI.
Baada ya Yanga kwenda kuweka kambi Uturuki, Kocha wa Simba, Zradvok Logarusic ameibeza safari hiyo na kuhahidi kuendeleza kutoa kipigo kwa mabingwa hao.
“Siku zilizobaki ni chache sana, kuwapeleka wachezaji kule ni mbali na hali ya hewa ya huku na kule nadhani ni tofauti labda kwa vile wana fedha.
“Mtu ukishakuwa na fedha unaenda sehemu yoyote duniani, unafanya chochote, Yanga wanahela mimi sijui wamezipata wapi, lakini wanatakiwa kuangalia pia na wakati, mimi sihitaji kwenda sehemu yoyote nje ya Dar es Salaam.
“Nataka kurudi Dar mara moja baada ya mashindano haya., nimechoka., Wwachezaji wangu nao wamechoka, sihtaji kuendelea kubaki hapa hata kwa siku moja zaidi., Nnimeshawaambia viongozi kambi itakuwa Dar.
“Nimeamua iwe Dar ili kuwapa muda wa kutosha kupumzika wachezaji wangu ambao mashindano haya (mapinduzi) wamecheza mfululizo yameshatuchosha, siku zilizobaki ni chache tunaanza ligi, si vyema tukawa mbali na Dar,” alisisitiza na kudai mechi alizocheza kwenye michuano ya Mapinduzi zinamtosha kwani tayari ameshajua uzuri na upungufu wa kila mchezaji.
Loga alisema kuwa kwa sasa anaepuka kuwa na majeruhi kwenye kikosi chake kwani hali hiyo itamgharimu itakapoanza ligi na kushindwa kutimiza lengo la kuchukuaubingwa