BREAKING NEWZZ!!! BABU SEYA KUFIA JELA,KILICHOJIRI MAHAKAMANI HIKI HAPA
Mwanamuziki Nguza Viking na mwanaye Johnson Nguza 'Papii Kocha'.
Babu Seya na Papii
Kocha walihukumiwa kifungo cha maisha jela mwaka 2004 baada ya
kupatikana na hatia ya kuwanajisi watoto wa Shule ya Msingi, Mashujaa,
Sinza jijini Dar ambapo wamekuwa wakikata rufaa mara kwa mara lakini
wakagonga mwamba. Hukumu hii ya rufaa ndiyo ya mwisho kusikilizwa.