Machapisho

WENGER KUONGEZA MKATABA MWINGINE ARSENAL

Picha
KLABU ya Arsenal imejadili uwezekano wa kumchukua kwa mkopo mshambuliaji wa Juventus, Fernando Llorente katika dirisha dogo la usajili Januari mwakani.

ZAMBIA YAREJEA CECAFA............

Picha
Zambia na Malawi zimethibitisha kushiriki michuano ya Chalenji ya Nchi za Afrika Mashariki na Kati itakayofanyika Novemba 27 hadi Desemba 8 nchini Kenya.

HENRY JOSEPH SHAKANI SIMBA, REDONDO NAYE MAJANGA MATUPU

Picha
Hatma  ya wachezaji Henry Joseph na Ramadhani Chombo 'Redondo' ambao wametemwa katika kambi ya Simba inayojiandaa kwa mechi yao ya Ligi Kuu ya Bara dhidi ya Prisons itajulikana leo wakati kocha wa timu hiyo Abdallah Kibadeni atakapozungumza na wanahabari jijini Dar es Salaam.

SUNDERLAND YAPATA BOSI MPYA...........

Picha
Klabu ya Sunderland ya Egland imemteua Kocha wa zamani wa Brighton Gus Poyet kua kocha mpya wa klabu katika mkataba wa miaka miwili.

HATIMAYE SAMUEL ETO'O AREJEA CAMEROON

Picha
Rais wa Cameroon Paul Biya amemshawishi mwanasoka Samuel Eto'o kutafakari upya mipango yake ya kujiuzulu kutoka soka ya kimataifa

MIUJIZA: MZIMU WAMTOKEA BIBI ALIYEPOTEZANA NA NDUGUZE, SOMA MKASA KAMILI

Picha
Unaweza kudhania uongo kuhusu mkasa huu, lakini ndivyo ilivyo kwa bibi mmoja anayefahamika kwa jina la Bi Getrude Maranda (Pichani) mwenyeji wa Ifakara mkoani Morogoro ambaye ametokewa na mzimu wa marehemu babu yake usiku wa manane na kumtaka awatafute ndugu zake ambao hawafahamiani.

SIMBA YAONGOZA KUBEBWA KWA PENALTI

Picha
Timu  ya Simba inaongoza kwa kupewa penalti nyingi kuliko timu nyingine kwenye mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara inayoendelea.