Machapisho

BALE KIMEELEWEKA REAL MADRID, ATUA KUKAMILISHA DILI

Picha
NYOTA Gareth Bale amewasili Hispania kujiandaa kusaini Real Madrid, lakini Tottenham na vigogo hao wa Hispania bado wanavutana kwenye bei.

MAISHA YA NEY WA MITEGO SASA MATATANI

Picha
Sio kitu kigeni kusikia wimbo wowote wa Ney wa Mitego akiwasema waziwazi na kuwakosoa watu mbalimbali maarufu wa Tanzania kuhusu ishu mbalimbali; ni kitu ambacho amekua akikifanya kwenye nyimbo zake nyingi zilizotangulia.

SUAREZ SASA KUTUA BARCELONA

Picha
Denis Suarez  Barcelona says it has signed 19-year-old Spanish midfielder Denis Suarez to a four-year contract after securing his transfer from Manchester City.

SPURS YACHANUA ULAYA, YASHINDA 5-0, BALE HAITAJIKI TENA

Picha
BORA kwako kucheza kwenye Uwanja usio na mashabiki wa kutosha Tbilisi, au kuhamia Bernabeu Madrid? 

YANGA YATANGAZA KUWALIPA NSAJIGWA, MWASYIKA

Picha
KLABU ya Yanga imepanga kumalizana na nyota wake wa zamani, Stephano Mwasyika na Shadrack Nsajigwa, wanaoidai sh mil. 16, ikiwa ni siku chache tangu wafikishe madai yao Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kuomba msaada wa kupata haki yao.

WAUZA DAWA ZA KULEVYA WAMPIGA SHOTI NZITO MWAKYEMBE

Picha
Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), imesema itawafikisha kwenye Kamati ya Maadili ya Bunge, Waziri wa Ujenzi, Dk John Magufuli, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi na Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe akiwatuhumu kwa kulidanganya Bunge.

TFF YAKWAA KISIKI TENA

Picha
Suala la kuanza kutumika kwa mfumo wa tiketi za elektroniki kwenye viwanja vilivyoidhinishwa kutumika kwa msimu wa 2013/14 wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara utakaoanza kesho linaonekana kuwa gumu baada ya viongozi wa Shirikisho la Soka (TFF) 'kutupiana mpira'.