Zitoeni hela benki Yanga wana kikosi hatari

Na Hans Raphael

Yanga wana timu bora sana acheni utani,kama mnasema hela zipo benk zitoeni zilete wachezaji kwasababu Yanga wana kikosi hatari sana ,umeona moto wa Mwijage, umeona moto wa Shalulile, umeona Moto Yao Kouass

Umeona moto wa fullback wa kushoto,yule bwana mdogo ni fundi wa mpira,staki kusema sana lakini hapo bado hajaingia Albert Kagwanda bado hajaingia Toure,bado hajaingia Zakouan...aisee Yanga ni hatari toeni hela benk mlete wachezaji


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI